• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, November 2, 2012

    SNURA AVAMIWA NA MAJAMBAZI:LEO MEDIA NEWZ



    IKIWA ni siku chache zimepita baada ya aliyekuwa mchumba wa msanii wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, Abdallah Mtoro ‘Dallas’ kufanya fujo nyumbani kwa msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi, mwanadada huyo amevamiwa tena na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.Tukio hilo lilitokea hivi karibuni nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar ambapo watu hao walivunja geti na kuingia ndani lakini hawakufanikiwa kuchukua chochote. Akizungumza Snura alisema; “Ilikuwa kama saa saba hivi usiku, watu hao wapatao wanne walikuja kwangu wakavunja geti kisha kuingia ndani, kwa bahati tuliwasikia ndipo tukaomba msaada kwa majiraniwalipoona wameshitukiwa wakatoka na kukimbia lakini inavyoonekana ni watu ambao walikuwa na dhamira mbaya,niliogopa sana ungeniona hapo nilipokuwa nimejibanza ungenihurumia:Filex Mmari Newz usicopy habari hii ikijulikana itakuuwua vigumu

    No comments:

    3500K