• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, November 6, 2012

    Mwanamuziki muimbaji Rehema Chalamila maarufu kama RayC amekumbwa na tatizo kubwa la kuathirika na madawa ya kulevya.

    Mwanamuziki muimbaji Rehema Chalamila maarufu kama RayC amekumbwa na tatizo kubwa la kuathirika na madawa ya kulevya. Kwa sasa yumo katika hatua za matibabu ya kujaribu kuondokana na tatizo hilo. Kwa kadri ya maelezo ya mama yake dawa ambazo anahitaji kuzitumia ili kuponi ni gharama na pia kama wote tunavyofahamu pia mgonjwa yoyote anatakiwa kula vizuri, mzigo huu ni mkubwa kwa huyu mama, kwa hiyo kunahitajika msaada wa kubeba mzigo huo. Wapenzi wa muziki wa binti huyu na watu wenye mapenzi mema tunaweza kumsaidia mama huyu kwa kumtumia kiasi chochote cha fedha kwa kutumia huduma ya tigo pesa kupitia namba 0655999700

    Natanguliza shukrani kwa wote watakao weza kutoa msaada wowote kwa ajili ya matibabu ya mwenzetu  :: FROM FILEX MMARI NEWZ

    No comments:

    3500K