• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, November 5, 2012

    KAULI YA Ruge Mutahaba KUHUSU HALI YA RAY C


    “Alishaanza hatua ya kwanza ya matibabu, anafanya bidii kwenda kwenye hatua ya pili ya matibabu,
    kweli kabisa anafanya bidii na kuhusu taarifa kwamba amepelekwa Iringa
    kupata matibabu ya
    kuacha utumiaji wa dawa za kulevya hakuna ukweli wowote,
    kuna taarifa nyingi za kupotosha
    ambazo mimi nilikua naomba watu wangeacha
    kuzisambaza kwa sababu hazisaidii mtu yeyote yule
    na vilevile zinaendelea kulikuza tatizo”
    Alisema Boss Ruge:www.filexmmari1994.blogspot.com



    No comments:

    3500K