• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, November 1, 2012

    JOH MAKINI ACHUKIZWA NA KITENDO CHA WASANII WA ARUSHA KUTOSHIRIKISHWA KATIKA UZINDUZI WA JIJI HILO.

    Photo: JOH MAKINI ACHUKIZWA NA KITENDO CHA WASANII WA ARUSHA KUTOSHIRIKISHWA KATIKA UZINDUZI WA JIJI HILO.

Mweusi Joh makini ameunguna na wasanii wengine wa arusha waliochukizwa na kitendo cha wasanii wa Arusha kutoshirikishwa kwenye sherehe za kulizindua jiji hilo rasmi.
Joh makini ambaye huadika mara chache kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika.
"Arusha inakua jiji leo huku wasanii wa Arusha ambao muziki wetu umekua ukiitangaza nje na ndani ya nchi hatuhusishwi wala kupewa heshima tunayostahili,Alisema Mweusi.
Awali muungano wa wasanii wa muziki Arusha,ukiongozwa na wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Nakaya sumari na Chindo man waliujia juu uongozi wa jiji la Arusha kwa kumwalika Diamond katika uzinduzi wa jiji hilo na wao kutelekezwa.
Wasanii hao wanadai kitendo kilichofanywa na waandaaji wa shughuli hiyo kumwalika Diamond na kuwaacha wasanii wa Arusha katika Sherehe hizo ni dharau kubwa kwao. 

     Mweusi Joh makini ameunguna na wasanii wengine wa arusha waliochukizwa na kitendo cha wasanii wa Arusha kutoshirikishwa kwenye sherehe za k
    ulizindua jiji hilo rasmi.
    Joh makini ambaye huadika mara chache kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika.
    "Arusha inakua jiji leo huku wasanii wa Arusha ambao muziki wetu umekua ukiitangaza nje na ndani ya nchi hatuhusishwi wala kupewa heshima tunayostahili,Alisema Mweusi.
    Awali muungano wa wasanii wa muziki Arusha,ukiongozwa na wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Nakaya sumari na Chindo man waliujia juu uongozi wa jiji la Arusha kwa kumwalika Diamond katika uzinduzi wa jiji hilo na wao kutelekezwa.
    Wasanii hao wanadai kitendo kilichofanywa na waandaaji wa shughuli hiyo kumwalika Diamond na kuwaacha wasanii wa Arusha katika Sherehe hizo ni dharau kubwa kwao.

    No comments:

    3500K