• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, November 12, 2012

    HUSSEIN MACHOZI ATOA SABABU ZA KUFANYA MUZIKI WAKE KENYA


    Msanii mahiri wa Bongo Fleva almaarufu kama Hussein Machozi baada ya kutamba na ngoma zake kadhaa kali kama Addicted,Mizimu,Kwa ajili yako na ngoma zingine kali sasa
    Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kufanya ngoma ya mpya ambayo ilikuwa inakwenda kwa jina la Addicted huko kenya sasa ameamua kufunguka na kuweka wazi sababu ambazo zimemfanya mpaka aanze kufanya kazi zake nchini kenya,alieleza kwamba kwanza nchini Kenya kwa wiki anapata show mara tatu pia kule muziki wake unalipa sana kushinda huku bongo na ndiyo maana ameamua kufanya kazi zake nchini kenya.I@info kamili by Hussein Machozi.

    No comments:

    3500K