• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, October 17, 2012

    WORLD CUP 2014 QUALIFYING NEWS: UJERUMANI YATIA AIBU, SWEDEN YAKAZA


     BAO LA MIROSLAV KLOSE
     BAO LA MESUT OZIL
     ZLATAN IBRAHIMOVIC
    BAO LA RASMUS ELM DAKIKA YA 93
    Dakika 30 tu ziliwatosha Sweden kuonyesha kiwango chao dhidi ya Ujerumani ambao walikuwa wakiongoza kwa mabao 4-0. Zlatan Ibrahimovic (PSG)alitia hamasa kwa bao lake la kwanza katika dakika ya 62, ndipo mvua ya mabao ilipoanza na kumfanya Manuel Neuer ashindwe la kufanya kwani dakika ya 64 Mikael Lustig(Celtic) alitupia baada ya kufanya kazi ya ziada. Dakika ya 76 Johan Elmander(Galatasary ya Uturuki) Msumari wa kusawazisha aliupigilia Rasmus Elm(CSKA Moskova) katika dakika ya 93.

    Mabao ya Ujerumani yalifungwa katika dakika ya 8 na 15 na Miroslav Klose mchezaji wa klabu ya , Per Mertasacker (Arsenal)alifumania nyavu katika dakika ya 39 na Mesut Ozil (Real Madrid).

    No comments:

    3500K