• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, October 23, 2012

    T.I SOON KUACHIA ALBUM YAKE MPYA KITAANI"TROUBLE MAN"

    NEWZ>>>FILEX MMARI


    Ni moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri katika  game la mziki nchini marekani Obama Land sasa habari ambayo niliipata siku za hivi karibuni ni kwamba msanii huyu aliamua kufunguka na kuweza kuweka wazi kwa mashabiki wake kwamba soon anatarajia kuachia album yake mpya ya nane inayokwenda kwa jina la Trouble man haya yote aliweza kufunguka na kuweka wazi  katika kipindi cha 106& park nchini marekani pia msanii huyu alifunguka na kusema kwamba ataachia rasmi album hii  siku ya tarehe 18 desemba.

    Trouble man real tracklist

    1. Wave Hello (feat. Cee-Lo Green) (produced by Pharrell)
    2. Hear Ye, Hear Ye (feat. Pharrell) (produced by The Neptunes)
    3. Trap Back Jumpin' (produced by DJ Toomp)
    4. Ball (feat. Lil Wayne) (produced by Rico Love)
    5. I'm Flexin' (feat. Big K.R.I.T. and B.o.B.) (produced by Big K.R.I.T.)
    6. Fight Music (feat. Trae tha Truth and Juicy J) (produced by Mike Will)
    7. Guns and Roses (produced by Cool and Dre)
    8. Break Down (produced by EI-P)
    9. Vampire Hustlers (feat. Iggy Azalea) (produced by Lex Luger)
    10. Go Get It (produced by T-Minus)
    11. Mercy (feat. Kendrick Lamar) (produced by T-Minus)
    12. Love This Life (produced by 1500 or Nothin')
    13. Trouble Man (feat. R. Kelly) (produced by DJ Toomp)
    14. Champion (feat. B.o.B., Big Boi and Janelle Monae) (produced by B.o.B.)
    15. Sorry (feat. Andre 3000) (produced by Jazze Pha)
    16. Hail Mary (feat. Teyana Taylor and Kanye West) (produced by Kanye West)
    17. We Don't Get Down Like Y'all (feat. B.o.B.) (produced by B.o.B.) (Bonus)
    18. Like That (produced by Lil' C and Mars) (Bonus)
    19. Don't Like The View (produced by Keith Mack)

    No comments:

    3500K