• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, October 31, 2012

    Sintah Aponda Make Up ya Aunt Ezekiel Asema Alionekana kituko wakati wa Kitchen party yake

    NEWZ>>>FILEX MMARI 






    hivi huyu aliemfanyia aunt make up Rahma (Aunt Ezekiel) alikuwa anampenda kweli? ama auntie mwenyewe alikuwa mbishi?? honestly,,, I’m so shocked daah

    namjua Aunt ana sura nzuri sana black beauty hata asingepaka make up angekuwa super bomba kuliko hivi walivyomnanga mwenzao

    hivi nikisema chochote nitaambiwa nina mdomo?? i do the seek n you do the judge  kazi kwako sasa

    nina company yangu ambayo ninaelezea mambo ya harusi kila kitu soon utaona profile yangu hapo please ask people kama huna ujuzi wowote.

    kwangu mimi naona hawakumtendea haki dada wa watu kabisa sio kila mtu anaeandika salon yake tunapamba maharusi anajua kupamba daah kuweni makini ,,naandika huku nalia sana kwa uchungu wamemuharibia mwenzao jamani picha za ukumbusho, as we all know wedding comes once in a life time.

    ikiwa siku yako ya harusi fanya unalotaka wewe usisikilize mtu maana baadaye utajilaumu angalia ushauri kama unafaa uchukue

    kama ningekuwa Aunt Ezekiel huyo make up artist angekiona cha moto na cha Arusha kwa juu.



    OGOPA KUHARIBIWA PICHA/VIDEO  YA HARUSI YAKO KWA KWENDA KWAKINA MWANAYUMBA SALON



    its me

    Unstoppable



    maombi  ya  watu mlioniomba niandike hii story na mkatafuta pics maana sikuwa na wazo wa kuandika lolote kuhusu Aunt.

    No comments:

    3500K