• Breaking News

  Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

  It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

  Tuesday, October 9, 2012

  Picha ya Diamond Aliyo Vua Suruali na Kuonyesha Boxer Yachafua Watanzania

  Jumamosi katika Show ya Serengeti Fiesta Diamond alionyesha kituko ambacho baadhi ya watu hawakukichukulia vizuri Hii ilikuwa baada ya Show ya Rick Ross Diamond Alipanda na Wachezo Show Wake na kutoa Show kali ambapo katika hiyo Show yeye na Madansa wake waliamua kuvua Suruali zao na kuonyesha Boxer zao kama inavyoonyesha hapo kwenye Picha...Kwa kudai kuwa wao ni wasafi mpaka ndani ..lakini kitendo hicho kimechukuliwa kuwa Dimond ni Shoga na wengine kusema ni Ishara za Ufreemanson Hizo ...Hata mie Hapo bado Sijamuelewa Diamond labda nitajitahidi kumtafuta nipate maelezo yake kwanini alifanya vile.....
  Post a Comment
  3500K