• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, October 25, 2012

    PICHA NYINGINE ZA MSANII "RAYUU" HADHARANI,MWENYEWE ABAKI MDOMO WAZI.

    NEWZ>>>FILEX MMARI

    Photo: PICHA NYINGINE ZA MSANII "RAYUU" HADHARANI,MWENYEWE ABAKI MDOMO WAZI.

Wiki kadhaa zimepita baada ya picha za msanii Rayuu zilizokuwa zinaonesha TATOO kuvuja mtandaoni, Safari hi hali imekuwa mbaya zaidi kwani picha nyingine zinazoonesha matiti yake zimenaswa na mwenyewe alipotafutwa kuelezea alibaki mdomo wazi na hajui ni mtu gani anayezisambaza.
Baadhi ya picha za chafu za Rayuu zilizosambaa mtandaoni.
Rayuu amedai kuwa hajui lolote kwani picha hizo zipo kwenye simu yake iliyopotea na hajui ni nani anayezisambaza ingawa aanaamini kuwa anayefanya hivyo ana nia mbaya ya kumchafua.
Msanii huyo anafanya vizuri kwenye tasnia ya filamu ni msanii ambaye ajawahi kukumbwa na matukio kama haya awali.
"Jamani mimi sielewi hizo picha zinatoka kwa nani,najua ndiyo kwenye simu yangu nilikuwa na picha hizo na baada ya kupotea sijui nani anayefanya upuuzi huo, nilipiga hizo picha kwa upendo wangu lakini sikuwa na maana zitoke na kusambaa mitandaoni".
Alisema kwa hasira Rayuu. 
     
    Wiki kadhaa zimepita baada ya picha za msanii Rayuu zilizokuwa zinaonesha TATOO kuvuja mtandaoni, Safari hi hali imekuwa mbaya zaidi kwani picha nyingine zinazoonesha ma
    titi yake zimenaswa na mwenyewe alipotafutwa kuelezea alibaki mdomo wazi na hajui ni mtu gani anayezisambaza.
    Baadhi ya picha za chafu za Rayuu zilizosambaa mtandaoni.
    Rayuu amedai kuwa hajui lolote kwani picha hizo zipo kwenye simu yake iliyopotea na hajui ni nani anayezisambaza ingawa aanaamini kuwa anayefanya hivyo ana nia mbaya ya kumchafua.
    Msanii huyo anafanya vizuri kwenye tasnia ya filamu ni msanii ambaye ajawahi kukumbwa na matukio kama haya awali.
    "Jamani mimi sielewi hizo picha zinatoka kwa nani,najua ndiyo kwenye simu yangu nilikuwa na picha hizo na baada ya kupotea sijui nani anayefanya upuuzi huo, nilipiga hizo picha kwa upendo wangu lakini sikuwa na maana zitoke na kusambaa mitandaoni".
    Alisema kwa hasira Rayuu.

    No comments:

    3500K