• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, October 19, 2012

    NAKUKUMBUSHA WEWE AMBAYE HUKUSIKIA TUNDA MAN, CHID BENZ, MADEE NA BABY MADAHA WAUNGANA NA DUDE..!

    Photo: TUNDA MAN, CHID BENZ, MADEE NA BABY MADAHA WAUNGANA NA DUDE..!

Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa kituo cha luninga TBC 1 nadhani utakuwa ukiikumbuka show kabambe ya msanii Kurwa Kikumba  maarufu kama DUDE iliyokuwa ikifahamika kwa jina la BONGO DAR ES SALAAM, Sasa show hiyo iko mbioni kurudi tena baada ya msanii huyo kujipanga kuleta vitu vipya vya kitapeli kama kawaida yake kwenye show hiyo ya kusisimua na kuchekesha.
Mwenyewe alidai kuwa wanajipanga kurecord michezo mingi zaidi ili watakapoiachia kwenye luninga kutakuwa  hakuna kumis kwa kila siku ya kipindi.
LAKINI kubwa zaidi kwenye ujio wa show hiyo ni kwamba sasa show hiyo itakuwa ikihusisha mastaa wa Bongo fleva kama vile MADEE, CHID BENZ, TUNDA MAN na BABY MADAHA ili kuipa mvuto zaidi na mambo mapya yenye kuvutia, DUDE hakuthibitisha ni lini hasa show hiyo itaanza kuruka hewani upya.

Kurwa kikumba a.k.a DUDE. 

    Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa kituo cha luninga TBC 1 nadhani utakuwa ukiikumbuka show kabambe ya msanii Kurwa Kikumba maarufu kama DUDE iliyokuwa ikifahamika kwa jina la
    BONGO DAR ES SALAAM, Sasa show hiyo iko mbioni kurudi tena baada ya msanii huyo kujipanga kuleta vitu vipya vya kitapeli kama kawaida yake kwenye show hiyo ya kusisimua na kuchekesha.
    Mwenyewe alidai kuwa wanajipanga kurecord michezo mingi zaidi ili watakapoiachia kwenye luninga kutakuwa hakuna kumis kwa kila siku ya kipindi.
    LAKINI kubwa zaidi kwenye ujio wa show hiyo ni kwamba sasa show hiyo itakuwa ikihusisha mastaa wa Bongo fleva kama vile MADEE, CHID BENZ, TUNDA MAN na BABY MADAHA ili kuipa mvuto zaidi na mambo mapya yenye kuvutia, DUDE hakuthibitisha ni lini hasa show hiyo itaanza kuruka hewani upya.

    Kurwa kikumba a.k.a DUDE.

    No comments:

    3500K