• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, October 19, 2012

    MNAOMFATILIA JOHN TERRY WA CHELSEA, HII NI

    .
    Mchezaji wa Chelsea John Terry hatimae leo ameweka wazi kwamba hatokata rufaa kuhuu kesi yake ya kutoa maneno ya kibaguzi kwa mchezaji wa QPR Anton Ferdinand october 2011 kwenye mechi kati ya club hizo mbili.
    Leo ametoa statement ya kuomba msamaha na kusema ameamua hatokata rufaa, na asamehewe kwa kutoa hayo maneno ya kibaguzi ambayo yamempa adhabu ya kukosa mechi nne ikiwemo ya jumamosi na Tottenham pamoja na ya october 28 na Man U, pia anatakiwa kulipa faini ya pound laki mbili na elfu 20.

    No comments:

    3500K