• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, October 19, 2012

    KAZI NZURI NDIYO JIBU SAHIHI LA KUMWEKA JUU MTU YEYOTE, SIO BIFU".... MWANA FA.



    Wasanii wengi wa tasnia mbalimbali wanaojihusisha na bifu kwa lengo kuongeza umaarufu, mkali alisiyepotea ndani ya muziki wa BongoFleva Mwana FA ameamua kuweka wazi kuwa bifu alimkuzi kimuziki zaidi anapotea kwani umaarufu unakuja kutokana na kazi nzuri zinazoelimisha na kuburudisha jamii na si vingine.
    Wapo wasanii
    wengi ambao mara zote wamekuwa wakitengeneza bifu kwa madai kuwa wanaongeza umaarufu huku wakisahau kuwa kazi nzuri ndiyo njia inayoweza kukuweka karibu na mashabiki na si malumbano hayana maana yoyote.

    "Bifu si kitu cha kukipa nafasi katika kazi kwani mara nyingi watu wanapoteza muda kwa sababu ya ishu zisizokuwa na msingi lakini kwa upande wangu nafanya muziki na sihitaji kupoteza muda kwa sababu ya watu fulani kwani najua madhara yake ni mengi kama kunichafua na mashabiki wangu naweza kuwaweka njia panda" Alisema Mwana FA

    No comments:

    3500K