• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, October 31, 2012

    COLLABO YA AY NA SEAN KINGSTONE YAKAMILIKA.


    Photo: COLLABO YA AY NA SEAN KINGSTONE YAKAMILIKA.Ile collabo ya A.Y na Sean Kingstone iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu hatimaye imekamilika.Taarifa imetolewa leo kupitia mtandao wa Twitter na promoter wa kimataifa Hemdee Kiwanuka ambaye kampuni yake ya Networkshowbizz husimamia kazi za A.Y.Msanii wa nchini Jamaika Ms Trinit ambaye alishawahi kufanya collabo na A.Y ataonekana kwenye video ya ngoma ingawa hajashirikishwa. 
     Ile collabo ya A.Y na Sean Kingstone iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu hatimaye imekamilika.
    Taarifa imetolewa leo kupitia mtandao wa Twitter na promoter wa kimataifa Hemdee Kiwanuka ambaye kampuni yake ya Networkshowbizz husimamia kazi za A.Y.
    Msanii wa nchini Jamaika Ms Trinit ambaye alishawahi kufanya collabo na A.Y ataonekana kwenye video ya ngoma ingawa hajashirikishwa.

    No comments:

    3500K