• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, October 18, 2012

    ASKARI POLISI AUAWA KIKATILI HUKO ZANZIBAR, KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WAANDISHI


    Kamishna wa Polisi Mussa Ali Mussa akifafanua jambo katika Mkutano na Waandishi wa Habari akielezea juu ya Fujo na Ghasia zilizotokea katika Mkoa wa Mjini Magharibi na kupelekea kifo cha Askari Mmoja,Mkutano huo umefanyika katika Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Zanzibar.
    Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa katika Mkutano wa Jeshi la Polisi kuelezea juu ya Fujo na Ghasia zilizotokea katika Mkoa wa Mjini Magharibi na kupelekea kifo cha Askari Mmoja,Mkutano huo umefanyika  katika Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Zanzibar.
     PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.

    No comments:

    3500K