• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, September 16, 2012

    SIFA 15 ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUMPENDA MWANAUME.


    Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta nijinsi gani wanaweza kupenda na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

    1. Kujiamini

    2. Mcheshi

    3. Mwenye utashi

    4. Anayetoa msaada unapohitajika

    5. Anaetunza siri

    6. Mwenye kujithamini

    7. Mwenye malengo / makini  8. Mwenye mawazo mapana  9. Muwazi na mkweli  
    10. Anayeridhika        11. Aliyeshupavu na jasiri
     12. Mwenye huruma 13. Anaesamehe 14. Hadhi na heshima 15. Hisia ya uadilifu.

    No comments:

    3500K