• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, September 27, 2012

    HAPPY BIRTHDAY LIL WAYNE


    Kutoka YMCMB msanii anayefanya vizuri kwenye ladha ya hip hop  huyu si mwingine namzungumzia Dwayne Michael Carter,Jr a.k.a Lil wayne leo anatimiza miaka 30 toka azaliwe mwaka 1982.Baada ya kutimiza miaka hiyo Lil wayne leo asubuhi aliamu kuandika ujumbe huu kwa mashabiki wake kwa kupitia fan page yake.
    Thank u all!!! For he's a jolly good fellow that nobody kan deny. 

    No comments:

    3500K