• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, September 19, 2012

    DJ CHOKA LEO ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KITAANI



    Ni moja kati ya watu ambao wana umaarufu sana katika upande wa U  Dee jay hapa Africa hata pale msanii anapoenda kupiga show labda nje ya nchini basi katika upande wa Dj lazima utamkuta mtu mzima choka anakaa kwenye moja na mbili .Sasa kwa siku ya leo Dj choka anatimiza miaka 28 toka azaliwe mwaka 1984 baada ya kutimiza miaka hii leo aliamua kusherekea siku yake ya kuzaliwa  na watoto wa kitaani.

                             HII HAPA CHINI NDIO VIDEO YA TUKIO HILI

    No comments:

    3500K