• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, September 16, 2012

    DITTO ACHAGULIWA KATIKA TUZO ZA RADIO FRANCE INTERNATIONAL


     
    Nyota wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la Lameck Ditto kutoka hapa bongo land Tanzania amechanguliwa katika kuwania tuzo za Radio France International Discoveries ambazo zitakuwa zinatolewa nchini France.katika tuzo hizi wasanii kumi kutoka Africa wamechanguliwa katika kuwania tuzo hizi na Ditto naye ni moja kati ya wasanii ambao wametajwa katika list ya wasanii ambao watashiriki katika kuwania tuzo za Radio France Intenational Discoveries.Kama mshindi akipatikana katika tuzo hizo za Radio France International basi atajipatia Euro elfu kumi na mkataba  wa kufanya  show live katika nchi 18 Duniani.Kwa hiyo tuna mtakia ushindi katika tuzo hizi za Radio France International.Hapo chini ndiyo categories ambayo msanii huyu atachuana na wasanii wa nchi mbalimbali  katika kuwania tuzo hizo za Radio France International na kwa chini kuna sehemu ya kumpigia kura Ditto iliaweze kushinda Tuzo ya Radio France Internarional. kea  hiyo kama wewe una support muziki wa hapa Tanzania basi tumpie kura mtanzania mwenzetu.

    vote discoveries-award-2012 

    Vote for your favourite finalist


    To confirm your vote, please indicate your name and adress
    Title
    Name
    Firstname
    Address
    Zip Code
    City
    Country
    Phone
    Email

    No comments:

    3500K