• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, August 19, 2012

    NEWS: SONG KUTUA CAMP NOU



    Klabu ya FC Barcelona imetangaza jioni ya jana kwamba imefikia makubaliano juu ya ada ya uhamisho wa kiungo Mcameroon Alexander Song kutoka Arsenal.

    Song sasa atasafiri kwenda Barcelona ndani masaa 48 yajayo kwa ajili ya kufanya vipimo na kujadiliana huu ya maslahi binafsi kabla ya kusaini mkataba na Barcelona.
    Uhamisho huu wa Song unakuja siku moja baada ya Robin Van Persie kukamilisha uhamisho wa kujiunga Manchester United akitokea Arsenal. Kuondoka kwa Song kunamaanisha Arsenal sasa itakuwa imeuza wachezaji wake muhimu waliocheza kwa kiwango kikubwa msimu uliopita na kuiwezesha kushika nafasi ya 3 kwenye ligi kuu ya England. Alex Song anakuwa mchezaji wa nne wa Arsenal kujiunga ba Barcelona katika kipindi cha miaka 5 iliyopita, wa kwanza akiwa Thierry Henry, akafuatiwa na Alexander Hleb, Cesc Fabregas na sasa mcameroon huyo.
    FC Barcelona has agreed a deal with Arsenal FC for the transfer of Alex Song to the Camp Nou. The fee is 19 million euros. The Cameroon international midfielder will sign for the next five seasons with a release clause of 80 million euros. On Monday he'll have a medical and then join the rest of the squad for the official team presentation at the Gamper."

    No comments:

    3500K