• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, August 28, 2012

    Leotainment Blog yaorodhesha Kurasa za Ngono za Facebook zilizo maarufu zaidi Tanzania






    Unaikumbuka blog ya Ze Utamu ilivyokuwa maarufu enzi hizo? Kama ingekuwepo hadi leo tunaamini ingekuwa blog inayosomwa pengine kuliko zote nchini. Bahati mbaya ama nzuri blog hiyo ilifungwa kitambo na mmiliki kukiona cha mtema kuni baada ya polisi wa kimataifa kumkamata na Mungu ndio anajua mtu huyo yuko wapi sasa hivi.

    Lakini sasa hivi wakati ambao mitandao ya kijamii kama Facebook imejipatia umaarufu nchini, kuna makundi ama kurasa zimefunguliwa na kujipatia umaarufu mkubwa.

    Kurasa hizo hazina tofauti sana na yaliyokuwa maudhui ya blog ya Ze Utamu. Kile kinachoandikwa na picha zinazowekwa ni za ngono zaidi. Picha nyingi zinazoonekana ni za wanawake walionusu uchi ama uchi kabisa ambazo nyingi zimekuwa zikipata maoni mengi kutoka watu waliojiunga na kurasa hizo.

    Kwa sasa kurasa hizo za ngono zimekuwa maarufu kiasi cha kuanza kuzizidi hata zile zinazozungumzia masuala ya muhimu kama vile siasa nk.

    Ni ukweli usiopingika kuwa ngono huvuta hisia za wengi, lakini swali ni Je! Kuongezeka kwa umaarufu wa makundi haya kwenye mtandao wa Facebook ambao lengo lake lilikuwa ni kuwakutanisha marafiki na jamaa na kufahamu mengi yanayoendelea katika maisha na pia makampuni makubwa yakiutumia mtandao huo kama njia ya kuwasiliana na wateja, kunaifanya Facebook iwe mtandao usio na maadili kuliko mingine kama Twitter? 

    Je huu ni mwanzo wa mtandao huo kuchimbiwa kaburi na watumiaji wake?

    Tunachaane na hayo na sasa tukupe fursa ya kuzifahamu kurasa hizo zilizo maarufu zaidi nchini.

    1. Jicho la Mvulana liko Fasta kuliko Google Pale linapo search Msichana.

    Maelezo: Katika mwili wako wote ,.. jaribu sana kulitunza Jicho.

    Likes 12,566


    2. Bongo Hotties (Hot o Not)

    Maelezo: Feel free to inbox us if u want ur pic 2 b posted here.. Only Hotties

    Likes 10,196


    3. Universal Tanzanian jokes

    Maelezo: it's all about jokes and nude photos

    Likes 9,703


    4. YaNi UtAmU UnAkUjA . YaNi UtAmU UnAkAtA

    Likes  7,713 


    5. Kijiwe Cha Story Za Wakubwa

    Likes 7,058 


    6. Karibu Upate Utamu

    Likes 1,713 


    7. Malaya Sinza

    Maelezo: KARIBU UCHAT NA MIMI NA UJUE MAMBO MENGI YA KIMAISHA HASA YANAYOHUSU STAREHE.
    JIPATIE HUDUMA ZIFUATAZO:

    1. Kujua njia mbalimbali za kufanya mapenzi
    Likes 1,713

    No comments:

    3500K