• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, July 8, 2012

    WOLPER NA WEMA SEPETU HAKUNA MBABE,PICHA ZA JINSI WEMA SEPETU NA JACKLINE WOLPER WALIVYOPIGANA


    Mwamuzi akiamua mpambano uanze.
    Wolper na Wema wakionyeshana ubabe.
    Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla.
    Waigizaji mahiri wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa raundi 2 uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar e Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini. PICHA NA GPL 

      EMA NA WOLPER KATIKA ALAMA ZA freemason
      Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana
     Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa
    Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpsambano wao
     Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo
    Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchini Ibrahimu Kamwe akimwelekeza bondia Wema Sepetu kitu


    No comments:

    3500K