• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, July 18, 2012

    Lisa Jensen Ameteuliwa kuiwakilisha Tanzania Miss World..Soma zaidi Chini


    Lisa Jensen Jana Akiwa Airport Akielekea China

    Baada ya Mashindano ya Miss Tanzania Kushindwa kufanyika mwaka huu kutoka na Utaratibu kubadilika Kamati ya Miss Tanzania Imeamua Kumteuwa Mrembo Lisa Jensen Kuwakilisha Tanzania katika Mashindano ya Miss World yatakayo fanyika nchini China Mwezi August Tarehe 18 2012...Mrembo huyo ameondoka jana kujiunga na wenzake ....Mashindano ya Miss Tanzania ndiyo yanayotoa Mshiriki wa kushiriki Miss World.
           source bong flava music     blog

    No comments:

    3500K