• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, July 12, 2012

    HATIMAE SAJUKI ARUDI TENA!


    Baada ya kusumbuliwa kwa kipindi kirefu kwa ugonjwa ambao ulisababishwa na uvimbe tumboni hatimaye mwigizaji machachari kabisa kunakoulingo wa filamu hapa nchini Juma Kilowoko maarufu kwa jina la Sajuki amerejea nchini  siku kadhaa zilizopita. Akiwa anazungumza na waandishi wa Globalpublishers Sajuki alidai kwa sasa hali yake imerejea kama zamani na anawashukuru Watanzania wote waliomchangia kwa hali na mali kufanikisha matibabu yake na anathamini mchango wao, bila kuwafumbia macho waliokuwa wanazungumza yasiyokuwepo Sajuki hakuacha kuzungumzia waliomzushia kifo na kusema kuwa yeye hana kinyongo na
    mtu na Mungu awabariki. Pichani ni sajuki baada ya kurejea kutoka India alikokwenda kwa matibabu.

    No comments:

    3500K