• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, July 13, 2012

    BEANIE SIGEL AFUNGWA JELA MIAKA 2.




    Rapper mwenye miaka 38 jina la passport Dwight Grant a.k.a Beanie Sigel alishtakiwa kwa kutolipa kodi mwaka 2003 hadi 2004 imeripotiwa na TMZ. Wakati wa case hiyo huko Philadelphia Beanie Sigel alimwambia Jaji anakubali yote lakini alilalamika juu ya ndugu zake walioshtakiwa kwa kutumia pesa zake wakati akitumikia adhabu ya kutumia dawa za kulevya na kukkutwa bastola kinyume cha sheria mwaka 2004 – 2005. ‘Sijafanikiwa kuendelea na maisha yangu ya muziki kabisa” aliiambia Mahakama Beanie Sigel. Beanie Sigel anazo album ya “The Truth, The B. Coming, and The Reason.

    No comments:

    3500K