Pages - Menu

Monday, September 5, 2016

SINA TATIZO NA BARAKA DA PRINCE- YOUNG KILLER


Rapa Young Killer anayeiwakilisha Mwanza katika muziki wa Hip hop amefunguka na kusema kuwa yeye hana tatizo lolote na msanii mwenzake Baraka Da Prince ambaye anatokea Mwanza pia na kusema yeye ni shabiki wa msanii huyo kwa sababu anafanya kazi nzuri.

No comments:

Post a Comment