NAY WA MITEGO ACHIMBA MKWARA MZITO KUHUSU MWANAYE!
*Nay wa Mitego amepiga biti zito kwa yeyote atakayetaka kumchukua mwanaye
mdogo Curtis. Amedai amepata machungu mengi sana juu ya mtoto wake huyo!
Alifungukakuwa amelala hoteli usiku na mtoto huyo bila mtu yoyote kujali
japo kwa kuuliza chochote. *
No comments:
Post a Comment