Pages - Menu

Tuesday, June 30, 2015

Picha: Ziara ya Diamond akiwa Nigeria kwenye vituo vya radio 'Naija FM' na 'the Beat FM'


Msanii wa *Bongo Fleva* anaye hit na ngoma yake ya *NANA, **Diamond Platnumz* yupo *Nigeria *kwenye ziara aliyo iita *#NanaMediaTour* kwa kusudio la kuzungua vyombo vya habari vya *Nigeria* kwaajili ya kutangaza ngoma yake ya *NaNa *aliyo mshirikisha *Mr Fleva* msanii wa nchini humo. Hizi ni baadhi ya picha zikimuonyesha akiwa kwenye vituo ciwili vikibwa vya radio nchini humo, Kituo cha *Naija FM* na *The Beet FM*.

No comments:

Post a Comment