• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, June 29, 2015

    Majibu ya Zari kwa wanaomshutumu kutoheshimu Mwezi wa Ramadhan yanashtua

    Zari the Bosslady amejikuta kwenye kitimoto kutokana na mashabiki kumshambulia mtandaoni kwa mavazi yake katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
    11377544_1677216072511891_1896615064_n
    Mama huyo mtarajiwa wa mtoto wa Diamond amelazimika kutumia Kiswahili kuwajibu wale wanaomshambulia kwa mavazi yake katika kipindi hiki ambacho waislamu duniani kote wapo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
    11333369_1585876378332496_1521149917_n
    “Mnikome, maisha yangu yanakuhusu nini wewe, na yako hayanihusu mimi kabisa ata kidogo,” ameandika Zari kwenye Instagram.
    “Oh sijui high heels, mara nguo imembana, sijui anapikia heels,pili pili hujakula wewe inaakuwashia nini? Mvae madera zenu mfunge mkanda mpite kimya kimya. Kwanini unastress???? HAYA NI MAISHA YANGU,”ameongeza.
    “Na sasa your all Gods’ judges now…. how many people do we know that wear hijab but have very dirty ugly hearts? Huh? How many of you act so straight for these 30 days but the last 11 months you’re the worst monsters this world has ever seen. Now u wana come here and judge my faith by the dress?”
    “Allah bless all of you….atleast I ain’t acting snitchy, am being ME. And oh, if you happen not to like what you see in ur news feed (my page) U always have 3 options, Block yourself, unfollow ama fast forward coz if your still following na you exercise your fingers kuwakya matusi page yangu, babe your just an obsessed fan if not a confused admirer dah majirani. Habari nakazi mnayo……like I always say, no bad vibes from me. So stay blessed.”

    No comments:

    3500K