*ACHANA* na watu kibao waliojitokeza mitandaoni na kudai wana undugu na
mshindi wa Shindano la Bigbrother Hotshot (2014), Idris Sultan (21),
mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye mtu wa kwanza kabisa kujinadi kuwa
na urafiki na mshindi huyo aliyejinyakulia zawadi ya shilingi milioni 510.
*Mwigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Idris.*
Idris ambaye alinyakua kitita hicho nchini Afrika Kusini wikiendi
iliyopita, aliwasili jana nchini na kupokelewa na Wabongo wengi ambao
walimpongeza kutokana na ushindi huo alioupata baada ya kuwagaragaza
washiriki saba wa nchi
No comments:
Post a Comment