Kaa tayari kwa ujio huu mpya kutoka kwa msanii wa kizazi kipya maarufu
kama C-Low akiwa amemshirikisha mwanamuziki Ben Pol na ngoma imepewa
jina la Any Time.
Kwa sasa C-Low anatamba na ngoma yake ya Side B ambayo alimshirikisha Yard bash pamoja na Tammy The Baddest.
No comments:
Post a Comment