Pages - Menu

Tuesday, January 1, 2013

AUAWA KWA KUMWAGA POMBE



*Mwanamume mmoja anasakwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwenzake kwa kumkata panga na kumchoma na kisu, baada ya kumwaga pombe yake.* Kamanda Kamugisha alisema jana kuwa tukio hilo limetokea juzi majira ya saa 12:45 jioni katika Kitongoji cha Itandura, Kijiji cha Nyakunguru, wilayani Tarime. Alimtaja mwanamume anayetafutwa na polisi kuwa ni Makuri Mcharo, mkazi wa kikijiji hicho na kwamba anatuhumiwa kumuua Makuri Hamisi (32) ambaye pia ni mkazi wa kijiji hicho. *CHANZO: Ahmed Makongo, TARIME*

No comments:

Post a Comment