Pages - Menu

Tuesday, December 11, 2012

Mrisho Ngasa Akumbwa na Skendo ya Kurekodi Video Akifanya Mapenzi na Msichana


Mcheza Mpira Maarufu wa team ya Simba Mrisho Ngasa Ameripotiwa na Gazeti moja wapo la Udaku leo liitwalo Ijumaa kuwa ameingia katika skendo ya kujirekodi video huku akifanya mapenzi na Mpenzi wake ...Gazeti hilo linadai kuwa lina video hiyo ambayo ina dakika kama 15 na inaonekana wakiwa uchi wa mnyama na msichana huyu...

No comments:

Post a Comment