Pages - Menu

Sunday, December 30, 2012

MASTAA WA BONGO NA MAZITO 2012

*Stori: Sifael Paul* Hakuna tamu isiyokuwa nachungu! Kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo kulikuwa na matukio ya mengi ya kusikitisha mwaka huu lakini Yafuatayo ndio mazito zaidi kwa mwaka 2012,Risasi jumamosi lina ripoti kamili.Matukio hayo ya huzuni yamegawanyika makundi tofauti yakiwemo yale ya vifo, kuvunjika kwa ndoa na wengine kutupwa rumande kwa misala mbalimbali. *Said Fundi ‘Mzee Kipara’ na Steven Kanumba enzi za uhai wao* *VIFO* Mwaka 2012 umepewa jina la mwaka wa shetani katika sanaa ya Kibongo baada ya kufariki kwa vichwa kibao katika tasnia mbalimbali. *MZEE KIPARA*

1 comment: