Pages - Menu

Wednesday, December 12, 2012

MAGAZETI YA BONGO YAMEZUA BALAA BAADA YA KUANDIKA STORY YA TYSON


Kupitia katika vyombo vya habari nchini hususan magazeti leo vimeamka na vinjwa vya habari tofauti kuhusiana na taarifa iliyoenea duniani kwamba mchezaji wa ndondi maarufu kama Mike Tyson amefanyiwa upasuaji na kubadili sehemu zake za siri.Hiyo habari ambayo imesambaa katika magazeti mbalimbali ya hapa bongo.Huku watu wengi wakijiuliza kuhusiana na hii habari.

No comments:

Post a Comment