Hiyo ni picha ambayo msanii kutoka Kenya Nonini ambaye pia ni mtangazaji
alitupia kwenye Wall yake asubuhi,akaambatanisha na ujumbe huuu:
*
"Producer na mmiliki wa Bongo Records, P.Funk 'Majani',Hakuna msani wa
Bongo hajafanya kazi na P- funk pande ya hip hop….Kutoka Kina
Proffesor,FidQ,Ngwea na Jaymoe Kimya Kimya....(Huyu ni Daktari Musyoka Wao)
No comments:
Post a Comment