Pages - Menu

Wednesday, November 28, 2012

ZAMARADI MKETEMA AFIWA NA MAMA YAKE

Taarifa zilizotufikia muda huu zinasema kuwa, Mtangazaji wa kipindi cha Take One kinachorushwa na Clouds Tv Zamaradi Mketema amefiwa na mama yake mzazi.

No comments:

Post a Comment