Pages - Menu

Monday, November 26, 2012

USIKU WA BONGE LA BWANA: SHILOLE AMWAGA RADHI,BIKINI NJENJE,FEROOZ APATA JIMAMA....

picha hizi zote zinatoka diamond webite

Petit Man & Shadee waliliongoza Red Carpet....
Makomando
Shetta akiingia kwenye Red Carpet

Akizitambulisha T-shert zake aina tofautitofauti...






Akiitambulisha Website yake...
www.shettamusic.com
Nicheck Bbm kumbe Mbulula...
H.K Akifanya yake sasa
Mtoto Mzuri Shilole akiwa amekamatiliwa kisawasawa na mmoja ya Shabiki wake...
Mmmh! Wakubwa wanafaidi sana LOL!

Chezea Shilole weyee!
Mnenguaji wa Shilole akifanya vitu vyake...
Suma Mnazaleti...
Young D
Stereo
Nyandu Tozi
Pasha
Makomando
Tym ya Kibega sasa...
Mmoja ya Mwanadada aliyeshindwa kuvumilia na kujitosa kwa Ferooz
wakati akiperform wimbo wa Ndege Tunduni...
Nay wa Mitego
Zimepanda anamwaga Radhi....LOL!

Msanii mpya toka Tht
No Comment
Team Shetta

Shetta akiwakonga nyoyo Mashabiki wake kwenye usiku wa Bonge la Bwana











Diamond Ashinda tunzo ya Msanii Bora wa kiume 2012 Nzumari Awards Kenya

Nikitoa shukrani kwa mashabiki wangu kwa kuniwezesha kutwaa
Tunzo hiyo baada ya kupokea

 
 
Hapa nikifurahishwa na kustaajabu  jinsi wanamombasa walivyoiitikia na kuishangilia
Nataka Kulewa nilipojaribu kuiimba Chorous......

Nikifanya interview na KTN moja TV Station kubwa sana Kenya, baada ya kupokea tunzo
Nikiwa na Mh Suleiman Shahbal Governor mtarajiwa wa nchini Kenya


Huyu ndio Best Presenter of the year, Mzazi William Tuva toka Citizen Tv an Radio Kenya...
moja ya Mapresenter ambao wanaunyanyua sana mziki wa bongo flavor Africa
 
Na mwanangu "Kigeugeu" Jaguar....
naye ni mmoja ya wasanii ambao walipokea tunzo kwenye ghafla hiyo
Mnh! Moze iyobo tena..... ni kujiongeza tu
Hapa nikiwa na mwanangu Wello toka Kagomaz,
moja ya kundi la muziki mahiri nchini Kenya wenye makazi yao Malindi na Nairobi...
Pia hivi sasa ni Assistant Director wa kampuni ya Next Level iliyo chini ya Adam juma...

mnh! kunambi tena.....
Brian Zungu toka I-View Media akiwa na Jaguar
Redcarpetin kulikua hivi sasa

No comments:

Post a Comment