Pages - Menu

Wednesday, November 14, 2012

UJUMBE KUTOKA KWA MENEJA WA KUNDI LA TMK WANAUME FAMILY,SAIDI FELLA


Kundi la TMK Wanaume Family wameachia wimbo mpya tangu watoe wimbo wa mwisho mwaka jana 'Kichwa kinauma' ambao alichaguliwa katika Tuzo za Kisima Kenya lakini haukushinda.Meneja wa kundi hilo Saidi Fella alisema kutokana na maombi ya mashabiki wameamua waachie wimbo huo kwasababu walikuwa kimya kwa kipindi cha mwaka mzima, "tumeona kabla mwaka hujaisha tuachie ngoma tusingefanya hivyo sijui mashabiki wangetuonaje, so ni ngoma ya Wanaume Family ameimba Chege, Temba,Yp,Aslay na Stiko imetengenezwa katika studio za VIBE ambazo ziko chini ya Mkubwa na Wanae...ISIKILIZE
 

No comments:

Post a Comment