Pages - Menu

Thursday, November 22, 2012

PICHA ZA MSANII RAMA D AUSTRALIA,MTOTO WAKE,ANAKOISHI NA GARI



Mtoto wa msanii wa R&B hapa bongo Rama D aliyezaa na mchumba wake ambaye ni Mzungu raia wa Australia anayeishi nae nchini humo na wana mpango wa kufunga ndoa pamoja mambo yatakapokamilika Hiyo ndo nyumba ambayo Rama D anayefanya poa na ngoma ya 'Kuwa na Subira' anaishi Rama D Akitembea ufukweni mwa bahari Na hilo ni gari ambalo Rama D analitumia

No comments:

Post a Comment