Leo Media™ | Tanzania's Entertainment
It's more about music industry and social issues in and out of bongo land
Pages - Menu
(Move to ...)
Home
▼
Tuesday, November 13, 2012
NGOMA MPYA 'MAMBO' -CPWAA FT Anto'Neyo
Cpwaa,Monagengsta na Mimi pande za Classic Sound kwenye studio ya Monagengsta ni siku ambayo nilipata nafasi ya kuzisikia hizi ngoma(double release) za Cpwaa kwa mara ya kwanza.Hii ni ngoma ya 'Mambo' imefanyika hapo kwa Monagengsta produza anayehusika kutengeneza ngoma kali kama 'Pete' ya Ben Pol,'Nilipe Nisepe' ya Bele,'Anaishi nae' na zingine kibao.
SIKILIZA
'Mambo' ambayo Cpwaa anasema kuwa video yake anataka kuifanya kwenye sehemu za utalii Tanzania kwaajili ya kuitangaza Vivutio vya Utalii Tanzania
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment