Pages - Menu

Friday, November 23, 2012

Lord Eyez Atinga Bongo Recods Kutoa Wimbo Baada ya Kuachiwa Kwa Dhamana



Baada ya misuko suko ya hapa na  pale na hatimae kurudi uraiani, msanii kutoka A city Lord eyes, anaonekana kurudi na kuitengeneza upya image yake kwa kudondosha ngoma kwa kasi, kwa fans and friends.Lord ameonekana katika studio za Bongo Recordsakiwa na majani na msanii Damian akirekod pini.

No comments:

Post a Comment