Pages - Menu

Tuesday, November 6, 2012

HIVI NDIVYO JINSI MADEE ALIVYOITUMIA ASIMILIA 20 YA ALICHOKIPATA MWAKA HUU TOKA JANUARI


Msanii kutoka Tip Top aka Raisi wa Manzese Madee anayefanya poa na ngoma ya 'Historia'  hivi karibuni alikuwa Morogoro kwenye Kituo kimoja cha kulea watoto Yatima ambako anasema kuwa alienda kuwatembelea na kutoa asilimia 20 ya kile alichokipata toka Januari.
Kituo hicho cha HOPE kiko katika kijiji cha Makuyuni...Hongera Madee kwa moyo huo Mwenyezi Mungu akuzidishie na wasanii wengine nao si viabya mkashare kidogo mnachokipata kwa watu ambao wanahitaji msaada

No comments:

Post a Comment