Pages - Menu

Wednesday, November 28, 2012

HII NDIO HALI HALISI ILIVYOKUWA MOCHWARI BAADA YA KUUFATA MWILI WA MAREHEMU SHARO MILIONEA


Huyu ni Mama Mzazi wa Sharo Milionea akiingia Mochwari kuutazama mwili wa mwanae





Kiongozi toka Serikalini akitoa maelekezo kwa watu waliofika mahali hapo....



Msanii aliyekuwa Rafiki kipenzi wa Sharo (Kitare) akiangua kilio Mochwari

Mama Mkubwa wa Sharo Milionea akilia kwa uchungu...



Mjomba wa Marehemu Sharo Milionea akimwaga machozi...



Ndende
Eneo la Hospitali Teule ya Muweza ulipohifadhiwa mwili wa marehemu

No comments:

Post a Comment