It's more about music industry and social issues in and out of bongo land
Pages - Menu
▼
Friday, November 9, 2012
DIAMOND AFANYA NGOMA MPYA NA DULLY "UTAMU"
Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Diamond wa wasafi baada ya kuachia ngoma yake mpya inayofahamika kwa jina la Nataka kulewa sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba ameweza kufanya ngoma nyingine ambayo amepewa collabo na Dully Skyes chini ya Producer P funk kutoka Bongo Records.Baada ya kumaliza kufunguka kuhusiana na collabo hiyo mpya alisema kwamba ni moja kati ya collabo ambayo alikuwa anaisubiri sana na hatimaye wameshamaliza ku record na siku za hivi karibuni inaweza ikatoka.
Check out hapo Diamond akiwa zake ndani ya Bongo Record akifanya vitu vyake sasa hii ni nomaa!!!!!
No comments:
Post a Comment