Breaking Newzz....MH.MBUNGE MUSSA ZUNGU AKAMATWA NA RUSHWA
Breaking Newzz....MH.MBUNGE MUSSA
ZUNGU AKAMATWA NA RUSHWA.HII IMETOKANA NA KUBAINIKA AKIGAWA PESA
ALIZOKUWA NAZO KATIKA GARI LAKE,NDIPO KUTOKANA NA MTEGO ULIO WEKWA NA
TAKUKURU NA KUWEZA KUBAINI JAPO GARI LILILO KUWA NA PESA KUKIMBIA LAKINI
USHAHIDI WA SIMU UMEBAINIKA.
Chanzo TBC 1
No comments:
Post a Comment