Pages - Menu

Thursday, October 11, 2012

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI, KAMISHNA JENERALI JOHN CASMIRI MINJA......


Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja akipokea
miongozo ya kazi kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
wakati wa hafla ya kuapishwa iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
 Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali  John Casmiri
Minja akila kiapo mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi.

No comments:

Post a Comment