Pages - Menu

Sunday, October 21, 2012

Mwimbaji Bob Haisa Asemeka Kawa Chizi Muokota Makopo





Hii picha imesambaa kwenye mtandao wa Facebook ikimwonesha Bob Haisa akiwa kama chizi na kuzua maswali mengi kama ni kweli ama ni harakati tu za kufanya sanaa.
Picha hiyo imewekwa na mtangazaji wa Kiss FM, D7.


Baada ya kuona kuwa kila mmoja anazungumza lake, mwandishi wa habari hii  amemtafuta Bob Haisa ambaye baada kucheka sana aliposikia jinsi watu wanavyoizungumzia picha hiyo, amesema hiyo picha ni ya video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Wa Kukaya’
  habari hii inatoka udaku blog

No comments:

Post a Comment