Pages - Menu

Thursday, October 4, 2012

Biashara ya Ngono yazidi Kushika Kasi Bongo-Hizi Ndio Bei

Gazeti la Amani Front Cover Limeandika Kuwa Biashara ya Ngono yazidi Kushika Kasi Bongo na Kutaja Bei ya Bidhaa Hiyo yenye Wateja Wengi ....Sehemu Mbali mbali dar es Salaam Hasa Sehemu za Starehe utawakuta wadada wakiuza Miili ya Pasipo kuwa na Aibu  Baadhi ya Sehemu Hizo ni Kama Corner Bar, Njia Yote ya Sinza kwenda Shekilango, Maisha Club na Sehemu nyingi za Starehe....Hii Ndio bei :
1.Kwa Babu-Tsh 15,000
2.Uchochoroni-Tsh 10,000
3.Shoti Time-Tsh 15,000
4.Kulala-Tsh 50,000
5.Gest-Tsh 25,000
6.Kwenye Gari-Tsh 20,000

Jamani Ukimwi Unaua Tujihadhari na Haya Mambo Ukishindwa Kabisa Basi Tumia Condom.....

No comments:

Post a Comment