Pages - Menu

Wednesday, October 31, 2012

BARNABA ATIRIRIKA NA MASHAIRI YA NGOMA YAKE MPYA.

"
Photo: BARNABA ATIRIRIKA NA MASHAIRI YA NGOMA YAKE MPYA.

"Oneni navyolia kama mtoto... Kwenye sekta ya mapenzi nahisi nimechapwa viboko. Na! Kinachoniumiza ni yangu huruma. Maana mama barnaba alinisihi mwanamke akikuudhi usijempiga.... Oneni ndo nasafa!!....
Huruma yangu inaniponza!!.... Kazi yangu kufungua mlango usiku wa manane wenzangu wakigonga!!.  Na kumpenda bado nampena. Nahisi hiyo nafasi anayotumia...!

HUU NI WIMBO WANGU MPYA NA AYO NI BAADHI YA MANENO AMBAYO YAPO KATIKA VERS 2 NA NIMETENGEZA THT PROD/BY EMA THE BOY FROM THT NI NYIMBO YA TOFAUTI SANA NA YA KIKUBWA SANA MASHABIKI WANGU KAENI TAYARI KABISA NA KUANZIA KESHO NITAKUWA NAWAPA HABARI NINI KINAENDELEA ASANTENI SANA" Alisema Barnaba Boy 
 Oneni navyolia kama mtoto... Kwenye sekta ya mapenzi nahisi nimechapwa viboko. Na! Kinachoniumiza ni yangu huruma. Maana mama barnaba alinisihi mwanamke akikuudhi usijempiga.... Oneni ndo
nasafa!!....
Huruma yangu inaniponza!!.... Kazi yangu kufungua mlango usiku wa manane wenzangu wakigonga!!. Na kumpenda bado nampena. Nahisi hiyo nafasi anayotumia...!

HUU NI WIMBO WANGU MPYA NA AYO NI BAADHI YA MANENO AMBAYO YAPO KATIKA VERS 2 NA NIMETENGEZA THT PROD/BY EMA THE BOY FROM THT NI NYIMBO YA TOFAUTI SANA NA YA KIKUBWA SANA MASHABIKI WANGU KAENI TAYARI KABISA NA KUANZIA KESHO NITAKUWA NAWAPA HABARI NINI KINAENDELEA ASANTENI SANA" Alisema Barnaba Boy

No comments:

Post a Comment